SALSA, mashamba madogo biashara ndogo na usalama wa maendeleo ya chakula.


Kuhusu SALSA

SALSA inalenga kuonyesha kwa uelekevu mchango wa sasa na wenye uwezo katika mashamba madogo na biashara ya chakula kwa maendeleo ya usalama wa chakula na lishe.

SALSA inapainia mbinu ya kiriwaya yenye njia mbalimbali katika kanda 30 ya Uropa na Afrika kwa kutumia njia ya kisasa zaidi ya kiteknolojia yenye mbinu za kinidhamu na kutoa ramani ya mfumo wa chakula na kushiriki katika uchambuzi wa kutabiri hali.

SALSA inatambua utofauti uliopo katika mashamba madogo na mfumo wa chakula katika bara la Uropa na Afrika. Hivyo imetoa tahadhari mahususi kwa mashamba yaliyo hatarini na yale ambayo yako katika mazingira magumu.

SALSA inatumia mtazamo wa mfumo wa chakula kuangalia zaidi ya uwezo wa kuzalisha chakula yenyewe, pia inachunguza usalama wa chakula katika swala la upatikanaji wa lishe bora na usalama wa chakula, hudhibiti upatikanaji wa chakula (na uwezo wa kununua) matumizi ya chakula na udhabiti wake.

SALSA huchunguza mifumo ya kiutawala yenye uhusiano na mashirika ya wakulima wadogo na mizunguko ya chakula kisha, kutoa vyombo ambavyo huongoza maanuzi ya wadau katika kuimarisha michango ya mashamba madogo na biashara ya usalama wa chakula na lishe.

SALSA inatilia maanani ushirikiano mahususi na kubadilishana maarifa baina ya utafi wa mataifa ya Uropa na Kiafrika na washirika wenye kufanya mazoezi hivyo kuasidia utekelezaji wa diolojia ya EU- Afrika.

SALSA inahusisha washikadau na wenye kufanya maamuzi kuhusiana na mashamba madogo, chakula,usalama na lishe na kufanya mazungumzo ambayo inahusisha mipaka katika utafiti, sera na mzoezi.

Kanda zinazorejelewa

Ili kutoa maarifa ya ndani ambayo inaonyesha uhusiano kati ya mashamba madogo na FNS katika muktadha tofauti na kushinda nafasi iliyopo katika vyanzo vya data yanayahusu mashamba madogo na biashara ya chakula, SALSA inafanya kazi kwa ukamilifu katika maeneo ya kanda 30 yaliyochaguliwa. Maeneo haya yanawakilisha hali katika bara la Uropa na Afrika, kuhusiana na idadi na umuhimu wa mashamba madogo, mahali yalipo katika maeneo na jijini na upatikanaji wa masoko ya kimataifa.

Pato mahususi

Ramani ya ukulima wa viwango vidogo, kuongeza makisio ya uwezo wa kisasa wa kuzalisha, kuthibitishwa katika viwango vya kikanda.

Kueleweka kwa undani kwa kazi ya mashamba madogo na biashara ya chakula inayohusiana nayo katika FNS katika hali ya kimaeneo na kuongeza uchambuzi wa kuona mbele, iliyotengenezwa kusaidia katika kufanya maamuzi katika mashirika ya kibinafsi na kiserikali ( nakuangazia utafiti zaidi)

Vikundi 30 vya marejeleo ya kikanda (marejeleo 25 ya kikanda Uropa na 5 Afrika) ambapo habari katika viwango vya mashamba madogo na biashara ndogo zinazohusiano nayo na uhusiano wao na FNS itakuwepo, kwa ajili ya utafiti, kufuatilia na konyesha maendeleo ya sera.

Tathmini ya mifumo ya kiserikali inayohusiana na mashirika ya mashamba madogo na mzunguko wa chakula, ambayo yanaweza kuongoza sera ya maendeleo ambayo inalenga kuimarisha mchango wa mashamba madogo na biashara ndogo kwa viwango vyote vya FNS

Mfumo wa dhana iliyounganishwa, ambayo inaleta pamoja fasihi ya kitaaluma na uzoefu wa vitendo vya FNS Afrika na Uropa kutumia mtazomo wa mfumo wa chakula.

Ufanisi wa kushirikiana na kubadilishana baina ya utafiti na washirika wa mazoezi wa Uropa na Afrika, ambayo itatambulisha kufanana na kutofautiana kwa mifumo ya chakula, kuimarisha kuelewana na utekelezaji wa siku za usoni wa EU Afrika.

Mbinu za utafiti wa kiriwaya, kuongeza mbinu za kisasa za kiteknolojia, kujenga kwa nadharia za kinidhamu kutoka pande mbalimbali, uhakiki wa kimfumo na kuhusika katika kuangalia uchambuzi

Mazoezi ya kijamii (CoP) na hatua ya kubadilishana na kushirikiana kwa washikadau mbalimbali, ambayo itajengeka kwenye jukwaa la kujifunza katika mawasiliano ya FAO na kutumia jukwaa ya kiyuropa kama ENRD,ELARD na EIP-AGRI kwa minajili ya kuimarisha hekima yetu na maswali yanayoshughulikiwa katika SALSA.

VIFURUSHI VYA KIKAZI

WP1. Kujenga kwa Nadharia ya kinidhamu na uchambuzi wa kimfumo.
WP2. Kukadiria mgawanyiko wa mashamba madogo na uwezo wao halisi katika kuzalisha.
WP3. Thathmini ya kindani ya mfumo wa chakula katika maeneo 30 ya kikanda yaliyochguliwa.
WP4. Uchambuzi wa kuonambele na kushiriki.
WP5. Uchambuzi wa jinsi mashirika ya mashamba madogo na mizunguko ya chakula yanavyotawaliwa.
WP6. Kuwezesha hali ya mashamba madogo na biashara ndogo za chakula.
WP7. Kujifunza kwa pamoja na kuwasiliana.
WP8. usimamizi wa miradi na uratibu.